Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Joannah kuna ujumbe hapa wa wale single mama uliokuwa unawatetea kuficha watoto kwa bibi zao ili waolewe
financial services sii ulisema wewe ni flat screen🤣🤣🤣🤣
Shauri yenu mtaingizwa cha kiume mshangae. Hakunaga mechi inaanza 1-0