Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Wanaume kupata mwanamke wa kuoa siyo ishu wakiamua. Yeye kama kweli ana ubavu aseme wanawake wanaotafuta wanaume wa kuwaoa watoe hiyo laki halafu waguse mkono wake tuone.....
Duuh kwa kweli ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Unanifurahishaga sana aisee...
Watakuja kukuchosha tu hawa hawana jipya mkuu wangu ๐๐๐
Basi kama ni hivyo itakuwa ni fiksi tuNjia nyingine ya kupunguza muda?
Sidhani maana siyo jambo rahisi. Inahitajika scientific/technological breakthrough kuweza kutoka kwenye hii propulsion technology tuliyonayo kwenda nyingine. Na mambo ya worm holes na time travel bado ni nadharia tu...
Ndiyo maana NASA kupitia program yao ya ARTEMIS wanapanga kwanza kuwa na ngome ya kudumu mwezini ili ndiyo waje waitumie kama launching pad ya kuendea Mars. Kwenye mwezi gravity ni kidogo sana na maroketi yanaweza kubeba supplies nyingi bila kuhitaji nishati kubwa....
Kwamba Elon Musk yeye mwaka kesho tu awe tayari keshajenga hoteli ya kudumu Mars na kupeleka watu. Sidhani!
Kama hoteli itakuwa hapa kwenye lower orbit ulipo mrundikano wa satellites na International Space Station sawa....
Hakia Mungu pentecost wamevamiwa ๐๐๐๐๐
Kwa kweli ๐คฃ๐คฃWanaume kupata mwanamke wa kuoa siyo ishu wakiamua. Yeye kama kweli ana ubavu aseme wanawake wanaotafuta wanaume wa kuwaoa watoe hiyo laki halafu waguse mkono wake tuone.....
Upepo mwingine wa kisulisuli ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Hawa watu wa mwanza nawapa kongole kwa matunguri maana.........
Basi kama ni hivyo itakuwa ni fiksi tu
Make Not every information is true ๐ค๐
Ni Mjita huyo mkuu. Kwao ni huko Mara. Mwanza huku Wasukuma hatuna shida na mtu ๐๐๐๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธHawa watu wa mwanza nawapa kongole kwa matunguri maana.........
Acha niishie hapo
Huyu yolo the queen nasikiaga raha nikimwona jamani duuh
Hiyo teknolojia ya kutriple ndo kasheshe itakapoanzia hapo hapo sasaNi fix...
Hana teknolojia ya kupeleka watu Mars mwaka kesho. Angesema 2030 huko au itokee breakthrough ya ku-triple speed ya maroketi ya sasa safari ichukue mwezi mmoja na siku kadhaa....
Huyu yolo the queen nasikiaga raha nikimwona jamani duuh
Acha nitafute hela aseee simba namwonea wivu sana anavyowagonga hawa watoto wazuri โบ๏ธโบ๏ธโบ๏ธ๐