๐ mtu wa hivyo unadhani atakuwa anakuona wewe tu?Mi nafikiri ukishampea ukapata kazi ndiyo mmemalizana kumbe hiyo blackmail ndiyo inaendelea unakuwa mtumwa wake kila akitaka lazima umpee hata kama ulishaanza kazi?
Inhumane! ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Hiko kipi kingine ndio kinadumisha mapenzi ๐๐ค๐ค๐ค๐ค
View attachment 2617634
naskia hazitumii laini inabidi uwe na e-sim....
Utajua hujui ๐naskia hazitumii laini inabidi uwe na e-sim....
Simu ndefu kama mche wa sabunimashine hii hapa ๐
View attachment 2617868
iphone 14 ndo kubwa kwa taarifa yako ๐Simu ndefu kama mche wa sabuni
๐๐ huwezi linganisha na ule mche umetumaiphone 14 ndo kubwa kwa taarifa yako ๐
milioni 3 shwaaaa๐ aisee, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake....๐๐ huwezi linganisha na ule mche umetuma View attachment 2617870
one day na mimi๐ au nitaongea na Lenie anifanyie wepesi๐
Ongea naeone day na mimi๐ au nitaongea na Lenie anifanyie wepesi๐
Watu na ndoa zao, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Super woman[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2617872