Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20230509_070334_Instagram Lite.jpg
 
Ni kweli...

98 yrs bila miwani wala mkongojo.

Mungu Aendelee kumlinda Mzee Rukhsa. Alituokoa na kuvaa magunia enzi zileee....

Waziri wa kwanza na pengine pekee kuwajibika kwa kujiuzulu yalipotokea makosa katika wizara yake....

Na wake wawili ndo mpango mzima [emoji122][emoji122][emoji122]
Hao wawili si mpaka wapendane sasa
 
Mzeee mwinyi anasema siri ya kuishi miaka mingi ni kuowa WAKE WAWILI [emoji3][emoji3][emoji3] anasema mke mmoja anasababisha presha ,sukari na ugonjwa wa akili[emoji3][emoji3][emoji3].....VIJANA FANYENI RESERCH YA jambo hiliView attachment 2615120
Huyu mzee ni mkweli kabisa.
Kuwa na mke mmoja nikujitakia kifo cha mapema kabisa
 
Back
Top Bottom