Vituko mitandaoni. Tupia chako

Huyo mwamba wa hesabu namsoma sana Nakumbuka nilvyokuwa A level kuna kitabu fulani hivi cha pure mathematics(s. Chand) kwa mbele kimeekwa picha yake alafu kinaelezea alivyoenda england na kuchukua tax lakini plate number ya taxi ilikuwa 1729 zile letters nimesahau

Akasema hiyo namba nisawa na cube ya (10 + 9) ambayo ni sawa na 1000 + 729

Duuh yule professor alihamaki asee from no where tayari jamaa ashagawanya namba hiyo chapu ndo kwanzia hapo akamkubali mwamba ni genius of math
 
Ni wachapakazi sana

Wanajiamini

Wana exposure na Kimalkia kinapanda

Wanasaidiana na kushirikiana

Nyimbo zao ziko unique...mdundo fulani hivi unaowatambulisha....
Hapa sipingi mkuuu ila ni very exceptional hawa watu yaani wao wanachoangalia ni fursa tu sijui kwa vile ncgi inawasomi wengi jobless hivyo watu wanajiongeza sana asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…