Eti mwanangu wanamsingizia newton wa watu eti alikuwa mboga wakati yy alikuwa anafikiria tu kutafiti physics na kusoma biblia basiNyinyi watu mna matatizo. Kuna siku mtakuja kupata medical
Papuchi itabaki kuwa papuchi tu haina mpinzani hapa duniani....
Wakati alipomuoa cousin wake alikuwa na mchepuko pia. Barua zake za mapenzi kwa huo mchepuko nadhani ndiyo zimekuwa declassified sasa hivi...
Isaac Newton ndiyo wanasema hakuwahi kudeti na mwanamke mpaka wanamsingizia kwamba pengine alikuwa si ridhiki....
Kipigo gani tena kwani uongo mkuu 😅😅😅😅jiandae kipigo hicho 😂
haya ndio mambo sasa wacha na mie mzabzab nikajaribu labda nitatoka from 2 minute japo nifike ata 2,5 min
Huku kwema kabisa tunamshukuru Mwenyezi. Baridi lake tu jioni ndio usipimeNiko mzima Mkinga.
Kwema huko Njombe Mgendera?
marafik zangu wananiita vampire, ndani giza😂😂Na taa huwashi 🤣🤣
🤣🤣Hi addiction ni mbaya sana
View attachment 2613995
nalijua hilo bro...Huna majirani?
Kuna siku watasikia harufu tu!
Eti mwanangu wanamsingizia newton wa watu eti alikuwa mboga wakati yy alikuwa anafikiria tu kutafiti physics na kusoma biblia basi
Yaani huyu Mungu kweli kaumba baadhi ya watu ili tu watekeleze adhma flani duniani
Mchizi alishawahi kupiga hadi siku 5 bila kulala,, kisa ma research yake,,, kula anasahau yaani
He was built different aseee ile plague yao inayofananishwa na kizazi chetu (corona)
Ndo alitumia kuandika ma principia na kututesa nayo japo yameijenga dunia sana
Pole...Huku kwema kabisa tunamshukuru Mwenyezi. Baridi lake tu jioni ndio usipime