Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Wafa kiume fc??Huwezi kufananisha Simba na wahuni Man U utukome π
Bora sie tunaokufa kiumeWafa kiume fc??
si bora sie tuna kombe 1π€£
Bado na kale kawimbo ka yuefa wataanza kukaskia kama singeli za bongoπ
Robert Heriel Mtibeli nakusabahi mkuuuu πππππ.
Shemeji hajambo
View attachment 2613983
Kidogo tu broo πππ ila shem mzuri bana kongole broππ
Vijana mnamambo Sana.
Mkiachana mje mtupigie kelele humuππ
Hahaa mpira una matokeo ya kikatili sana.Bado na kale kawimbo ka yuefa wataanza kukaskia kama singeli za bongoπ
Ila mpira una ukatili sanaππΎ
Simba guvu 1πͺ
Kidogo tu broo πππ ila shem mzuri bana kongole bro
Ww ni Mtumishi wa Bwana89 kweli au ni magumashi ππππ
Nakubali mkuuu kongole kwa chombo cha kienyeji lkn,,,,, nakuonea wivu lkn ππMuda ni mchache Mkuu.
Usipoishi sasa hutoishi tena