Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Hata mimi aisee...Dah kweli tumetoka mbali, ung'eng'e na sound zilikua zimelala kichwani, nimekula sana hela za watu wanaomba niwaandikie barua
π€£π€£ Hana hata kuku huyo bageshiBageshi πππ
Huyu "dogo" ana ng'ombe au miyeyusho tu suruali za kubana na rasta?
Mna ajenda ganiπππ simwambii. Me nimekuonyesha ulichokuwa huoni
Duuh una moyo mkuuu wenginNitamlea tu kama wangu...
Nitahesabu kama sadaka natoa kwa ulimwengu na Mungu wangu ππΏ
View attachment 2613743
Wapi ww rijali gani akatae hizo hips ππππππππππππ
Nilimpa go ahead kimakosa...π€£π€£ Hana hata kuku huyo bageshi
Sina agenda na mtoto huyo πMna ajenda gani
Eeh akajipange upya kwanza, asije kizembeNilimpa go ahead kimakosa...
Pengine itabidi nimkoromee arudishe majeshi akatafute ng'ombe kwanza πππ
View attachment 2613762