Ndivyo saikolojia inavyosema maana wewe mumewe atakuwa anakulinganisha na ma ex zake kuanzia pesa, uhendisamu, treatment unayompa mpaka performance yako kitandani...
Wanasema body count ya 5+ tayari ni red flag....hasa kama alikuwa anaingia mapenzini mzima mzima maana wanawake ni viumbe wa hisia...
View attachment 2613717