Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,384
Hii jenda hii....
Mpaka dimpozi wanaweka za bandia 😳
Hii jenda hii....
aki sikujua mkuu 😂Hii jenda hii....
Mpaka dimpozi wanaweka za bandia 😳
Mi mwenyewe sikujua aseee kumbe kuna mchina mpaka kwenye mashavu noma sanaaki sikujua mkuu 😂
nimeshtuka sana....Mi mwenyewe sikujua aseee kumbe kuna mchina mpaka kwenye mashavu noma sana
nimeambiwa hizo ni fake 😂 oyaaa, mnaziwekaje....Noo, Zake kubwa 😂😂😂
Vyangu vidunchu dunchu
Zako ndio za mchina?aki sikujua mkuu 😂
unamaanisha nini mkuu, mbona sina dimples....Zako ndio za mchina?
Hamna fake bana. Utatoboaje sasa shavu?nimeambiwa hizo ni fake 😂 oyaaa, mnaziwekaje....
Lenie alisema unazo 😂😂unamaanisha nini mkuu, mbona sina dimples....
how?? when?? why?? moyo unaenda kasi sana 😂Lenie alisema unazo 😂😂
😂😂😂 ngoja nimuitehow?? when?? why?? moyo unaenda kasi sana 😂
dah, aisee sijui niseme nini.... unanisaidia sana jobless boy 😂😂😂😂 ngoja nimuite