Umewekamo pilipili manga?
nini kimetokea??
Airtel sme 😋😋😋😋😋
ndo nini broAirtel sme 😋😋😋😋😋
Mechi...nini kimetokea??
ni hack ya kupata bando bure??👇👇👇👇👇👇👇👇👇
View attachment 2608916
Unalipa kujiunga 10kni hack ya kupata bando bure??
5000 gb3 mona kitu ni kilekileUnalipa kujiunga 10k
Ndo upate huo utamu wenyewe 😋😋😋
Angalia 20k - 50k uone utamu ulivyo 😋😋😋😋5000 gb3 mona kitu ni kilekile
bado kwa matumizi yangu nataka niweze kupata internet isiyo na kikomo...Angalia 20k - 50k uone utamu ulivyo 😋😋😋😋
Isiyo na kikomo tena 🤣🤣🤣🤣🤣bado kwa matumizi yangu nataka niweze kupata internet isiyo na kikomo...
Shida which why how?
kuna huduma inaitwa konnect, 60k unapata bando la speed 10Mb/s bila kikomo kwa mwezi.... sema kuinstall vifaa inacost 400k. Tutafte hela kakaIsiyo na kikomo tena 🤣🤣🤣🤣🤣
Umekuwa TCRA AU Kazi zako ndo za humo unlimited sijajua inapatikanaje aseee 😁😁😁😁😁
🤣🤣🤣😁😁😁😁😁😁 Duuuh hiyo sitakuwa na matumizi nayo too much is harmful, 😃😃😃 tumia kiasikuna huduma inaitwa konnect, 60k unapata bando la speed 10Mb/s bila kikomo kwa mwezi.... sema kuinstall vifaa inacost 400k. Tutafte hela kaka