Weeee nahamia huko keshoπ€£π€£
Za chuo?
wale wale πZa chuo?
Hela yangu ilikua inaishia kwenye msosi na mitumbaπ
Siku hizi mpk dogo ananiita boss mara tajiri, kisa na ye anajua kuingia ATMZa chuo?
Hela yangu ilikua inaishia kwenye msosi na mitumbaπ
Njoo na gari ya magazeti alfajiri ππWeeee nahamia huko keshoπ€£π€£
π€£π€£Njoo na gari ya magazeti alfajiri ππ
Huku mamaa, mamake, mummie zimejaa
Mtu akiitumia lazima ufeel spesho π€£π€£π€£
Utamiss sweetheart π€£π€£π€£
Ndio napaki hapa vitu vyangu alfajiri nidamke
Aki na mimi nataka niitwe majina mazuriπ
Zile hela zinaletaga kaujeuri sanaπSiku hizi mpk dogo ananiita boss mara tajiri, kisa na ye anajua kuingia ATM
Upoje π€£π€£π€£Utamiss sweetheart π€£
Dogo unajua nini kuhusu boom na uko form 2wale wale π
acha dharau mkizeeka sisi ndo tutawalea, vibao vitageuka πDogo unajua nini kuhusu boom na uko form 2
Muda wa kulipa mlipe bila kelele πZile hela zinaletaga kaujeuri sanaπ
πππ umemkumbuka nani? Mbona kicheko kikaliUpoje π€£π€£π€£
kimondo kikawa mathayo 7:7kuna siku mimi na dada yangu tuliona kimondo kikubwa mchana kinang'aa hatari ,akaniambia ukiomba chochote hapo unapata
Tumegoma hatuzeeki ng'ooooacha dharau mkizeeka sisi ndo tutawalea, vibao vitageuka π
Nimekumbuka πππ€£π€£πππ umemkumbuka nani? Mbona kicheko kikali
Halafu sijawahi kulipia hata mia, siku wakiniotea nitajua sijuiMuda wa kulipa mlipe bila kelele π
Utasutwa ππππNimekumbuka πππ€£π€£