bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 10,342
- 23,398




Watu wanayo pesa Ila wengine tunalia lia shida daily.Shida zina pishana wakati ww unataka angalau ujikombowe ka usafiri kidgo uwahishe mambo kumbe kuna mtu tangu jana anapiga mihayo tu hajalaView attachment 1369932
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake acheni kazi za ujenzi achieni wanaume View attachment 1369660
Sent using Jamii Forums mobile app