[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] bora hapa lakini kilekilio cha 2009 sio kabisa.View attachment 1365643hapa kajitahidi kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ndio skinny jeans sasa.View attachment 1365662lawama ziende kwa tanesco wamemfanya jamaa avae nguo ya shemeji yetu
Haa! Ilikua ni 2009?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] bora hapa lakini kilekilio cha 2009 sio kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah siingi tena mbavu zangu zinaniuma mm saiz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]