NakujaNa unajua wananzengo wakianzaga hawana dogo. Shida yote hiyo ya nini?
Zamani nilikuwa na avatars zako zote. Sijui lile faili lilipotelea wapi. Ningekulazimisha uchague moja nzuri uachane na hii matipo 😁Nakuja
Nalike huku nareport.
😂😂 nikimaliza nalog out, naendelea na shida zangu zingine huku
Ndio hapo sasa, ukute ni mtu mmoja ameamua kutuzingua hapa ohoooIko namna!
Halafu wote wanatokea Chuga?
Mhhh!
Kwema bageshi?