antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 49,689
- 130,567
Hahaha...Nilikuwa napitia baadhi ya picha za ma supa dupa yutong nilizowahi kuposti huko na kuzifuta kumbe mod yupo ananilia timing....Na hii inashangaza maana picha zangu nyingi huko huwa zinafutwa anyway...
Hiyo maana yake mod anafurahia hizo YUTONG pics, aliona unamharibia kwa kufutaš

