Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG-20230416-WA0069.jpg
 
Zinauzwa wapi na shilingi ngapi....

Nataka nijipatie yangu mapemaaa.
Ni algorithm tu mwanahisabati anachukua wastani wa kawaida wa binadamu wa kuishi kulingana na nchi unayotoka na kukufanyia mahesabu. Kabla hujainunua inabidi wai-calibrate kwa kuingiza data zako muhimu (umri, uzito, BMI, medical na family history yako...). Wanasema iko sahihi kwa asilimia 85 -95% kwa wale ambao watakufa kwa magonjwa na hata uzee. Mambo ya kufa kwa dharula kama ajali, kuuwawa... haihusiki...

Mimi siitaki hata ukinipa bure!
 
Lini Mama Kijacho?

Mungu Akutangulie....

Nilishawahi kuingia Leba eti kushuhudia mweh!

Mbona hata dakika mbili sikumaliza? Ilibidi wanitoe. Na ndo maana naheshimu wanawake sana. What you go through kutuzalia hawa malaika ni Mungu tu Anajua.

Blessings 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Niko mwishoni mwishoni
🙏🙏🙏 kwa niaba!!
 
Back
Top Bottom