Mke ni yupi na mume ni yupi hapo? Kazi yao iendelee...
Mke ni yupi na mume ni yupi hapo? Kazi yao iendelee...
Na ni kucheka ni kwa nguvu kama mpo wengi ndani 😂 kumbe ni wewe na simu yakoila kucheka kupo
Mimi nina imani majirani zangu huwa wananishangaa sanaNa ni kucheka ni kwa nguvu kama mpo wengi ndanikumbe ni wewe na simu yako
Kumbe we ni mwanachuo 🤔😂😂😂 nataka kutapeliwa Lenie View attachment 2577691
Bora wacha aendelee kupigwa mpaka akili ikae sawa