Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20230326_143054_WhatsApp.jpg
 
Aaaah!

Kumbe ni wewe!

Katikati hapa uliandamwa na ban. Kila ID unayofungua wanaruka nayo. Tatizo lilikuwa nini?

Kuna watu bondage na sadism ndo fantasy zao. Pigo za akina Mzab hizo!
Acha tu nimeteswa sana babu id 4 wamezifyekelea
Mbali ila ntaendelea kufungua tu mpya

Ila huogopi kujali afya yako mkuuu na hayo ma bondage jinsi unavyoruka nayo 😁😁😁 au sio ww uliyepiga hiyo picha
 
Acha tu nimeteswa sana babu id 4 wamezifyekelea
Mbali ila ntaendelea kufungua tu mpya

Ila huogopi kujali afya yako mkuuu na hayo ma bondage jinsi unavyoruka nayo au sio ww uliyepiga hiyo picha
Tunajifurahisha tu hapa chit chat kwa Mshana. Na hizi ni picha tu naziokota huko Instagram na kwingineko.

Ngoja nikupe siri ya jinsi ya kuishi vyema mitandaoni humu.

Jitahidi sana watu wasikujue uhalisia wako. 98.9% ziwe ni porojo na 1.1% ndiyo viukweli - na vyenyewe visiwe deep sana....

Utaishi vizuri tu na bila wasiwasi wo wote......
 
Umenikumbusha kasheshe moja niliyowahi kukumbana nayo.

Nilipanda mdege huooo mkubwaaa! Mtu karibia 380. Marubani wote wanawake isipokuwa engineer ndiyo mwanaume (Ni zile zilizokuwa zinahitaji marubani watatu kwenye cockpit...)

Basi bwana mbengo zikafongoka wakati tunakaribia kutua mvua si mvua upepo si upepo giza tupu dege linatikisika hatari. Wakati fulani likashuka chini kwa ghafla kama futi kadhaa mpaka mtu unafeel ile weightlessness. Watu wote kimyaaaa kila mmoja anasali kivyake!

Basi bana sauti ya rubani ikaja kwenye intercom...this is your captain Miss Alexis. Sorry for the little turbulences and we will be landing in less than 3 minutes.....Yaani ile sauti ya kike haikunipa amani kabisa watu wote tunatazamana tu....

Lakini kweli mama yule akaliweka pipa chini tena landing moja poa sana bila mtikisiko....

Bado tuna bias dhidi ya wanawake hasa kwenye hizi kazi ngumu ngumu...ila siku ile sitaisahau....!
We're msengeeee ujue story inachekesha xana kuliko uliyoikomenti....

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom