Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,093
Hawana pesa ya kukulipa wakikugonga barabarani kaa mbali na gari yako
Ndio basi tenaa! Ze end, ovaaa! [emoji41]
Dah! Wangewaacha wamalizie[emoji16][emoji16][emoji2960]
Kuna jamaa kalala ndani ya banda mule![emoji3166][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]View attachment 2571684
[emoji16][emoji16]Boda boda wasichoweza kubeba ni mimba tuView attachment 2571672
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
Siwaachagi salama mbu ABADANI
Yaani huyu sio wa kuni wala wa gesi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpeni adhabu nyingine tu
Huyo dada mwenye Zambarau ni mzuri kuliko hata huyo Superstar ila unaweza kuta huyo dada anatamani afanane na huyo Star
[emoji852][emoji852][emoji852] dume ili
Kwa wenzetu ni pisi mbovu (kibonge) ivyo n wazi anatamani kuwa huyo staaaaaaa.Huyo dada mwenye Zambarau ni mzuri kuliko hata huyo Superstar ila unaweza kuta huyo dada anatamani afanane na huyo Star
AiseeKwa wenzetu ni pisi mbovu (kibonge) ivyo n wazi anatamani kuwa huyo staaaaaaa.