Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
[emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Akija kuchapiwa asianze kulia lia [emoji706][emoji706]
Hayataki kuzeeka kama Asprin [emoji23][emoji1544][emoji1544][emoji1550][emoji1550][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
View attachment 2565985
Kwahiyo kwenda ibadani na kumtolea Maulana sadaka ni mambo ya vijana?Hiyo ni title sio matendo [emoji23] [emoji1550][emoji1550]
Umenikumbusha kasheshe moja niliyowahi kukumbana nayo.
Uliinusa pepo!.Umenikumbusha kasheshe moja niliyowahi kukumbana nayo.
Nilipanda mdege huooo mkubwaaa! Mtu karibia 380. Marubani wote wanawake isipokuwa engineer ndiyo mwanaume (Ni zile zilizokuwa zinahitaji marubani watatu kwenye cockpit...)
Basi bwana mbengo zikafongoka wakati tunakaribia kutua mvua si mvua upepo si upepo giza tupu dege linatikisika hatari. Wakati fulani likashuka chini kwa ghafla kama futi kadhaa mpaka mtu unafeel ile weightlessness. Watu wote kimyaaaa kila mmoja anasali kivyake!
Basi bana sauti ya rubani ikaja kwenye intercom...this is your captain Miss Alexis. Sorry for the little turbulences and we will be landing in less than 3 minutes.....Yaani ile sauti ya kike haikunipa amani kabisa watu wote tunatazamana tu....
Lakini kweli mama yule akaliweka pipa chini tena landing moja poa sana bila mtikisiko....
Bado tuna bias dhidi ya wanawake hasa kwenye hizi kazi ngumu ngumu...ila siku ile sitaisahau....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]God Must Be Crazy
Naunga mkono hoja