Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_20230325_165404_746.jpg
 
Duuh unafatilia mkuu....!!!
Director Yuen Woo Ping alipata jina sana kwenye Drunken Master

Akaja kufanya kazi na Jet Li kwenye Tai Chi na Fist of Legend

Donnie Yen: Iron Monkey, Tiger Cage

Hadi Hollywood wakamwita kutengeneza ile movie ya MATRIX

Hizo ni chache tu kati ya nyingi kuna stunts za hatari humo.
 
Back
Top Bottom