Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Dume hilo limejibadili kua jike...
Screenshot_20230327-035734.jpg
 
Afande Ramadhani Ali jana Machi 20 alifikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza akikabiliwa na mashtaka mawili, Kurusha maudhui ya kingono mtandaoni na kukubali kuingiliwa kinyume na maumbile. Mshtakiwa aliyakana mashtaka yote akidai kuwa sio yeye, Kesi imeahirishwa mpaka tarehe 4 mwezi ujao.
FB_IMG_1679880576529.jpg
 
Afande Ramadhani Ali jana Machi 20 alifikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza akikabiliwa na mashtaka mawili, Kurusha maudhui ya kingono mtandaoni na kukubali kuingiliwa kinyume na maumbile. Mshtakiwa aliyakana mashtaka yote akidai kuwa sio yeye, Kesi imeahirishwa mpaka tarehe 4 mwezi ujao.View attachment 2567109
Kuna ndugu yetu aliwahi kuambiwa mbona kama una mimba akasema tuna msingizia tukamwambia haya. Miezi 7 baadaye aikabidi amfate maza anamwomba msamaha

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Afande Ramadhani Ali jana Machi 20 alifikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza akikabiliwa na mashtaka mawili, Kurusha maudhui ya kingono mtandaoni na kukubali kuingiliwa kinyume na maumbile. Mshtakiwa aliyakana mashtaka yote akidai kuwa sio yeye, Kesi imeahirishwa mpaka tarehe 4 mwezi ujao.View attachment 2567109
Wanamsingizia sana brazzer rama 😂😂
 
Back
Top Bottom