EbolaMungu na Atusaidie maana huyu Marburg ni jamii ya Ebola na anaua si mchezo....
View attachment 2563546View attachment 2563547
Hapa ndipo watu wanakandwaga makofi


Karibu Madam president kwenye uzi wetu. Ramadhan njema Mama yetu na Allah Akupe maisha marefu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Watembelea mikono - tumiguu twembamba...wanatiana moyo 😁Ndio nini
Sasa we gusa sufuria utajua hujui
Hili lilionekana tuu kama huna hela huna la kutambia utaonewa tuuMashetani!
View attachment 2563552
Nani anataka kufa bwana wewe....kkwa jogko sii anajua anapewa utamu
Wanatoa hizo stretch marks(wanazifuta)Wanamfanya nini huyu?