Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,384
Kwisha kazi...
Ila tuseme ukweli.Aise ni wachache sana wataona pepo


Yaani hapa ndio hatari. Kweli mwanamke ndio anamoeleka mwanaume motoni.Ila tuseme ukweli.
Kwa wanaume marijali.
Kuna atakayechomoka kwenye hii dhambi ndoige?
View attachment 2562303
He! Wamepunguza tena!
Si ilikua maishaDuh! Ndio maana mengine yanakuaga kama malapulapu duh!
Watu wana moyo, ile kibogoyo ipo kama imepasuliwa na shoka na unaenda zamisha domo hapo! Ule uteute wote kama kamasi...Waathirika wakubwa ni wanaume
Ni kansa inayokua polepole sana na inaweza kuchukua mpaka miaka 30 kabla haijagundulika. Kwa hivyo umri wa wastani kwa wagonjwa wa kansa hii ni miaka 60
Inatibika ikigundulika mapema na ugundulikaji wa mapema mara nyingi hufanywa na madaktari wa meno ambao ndiyo huanza kugundua mabadiliko ya rangi ya ulimi na mdomo; na hata uvimbe usio na maumivu kinywani wakati watu wanapokwenda ama kusafishwa au kutibiwa meno.
Baadhi ya dalili zake ni maumivu ya koo ya muda mrefu, kujihisi kama kuna kitu kimekwama kooni, ugumu wakati wa kumeza chakula, uvimbe usiouma kwenye shingo na kwenye makwapa, kikohozi kigumu kisichopona, kubadilika kwa sauti na kuwa raspy...
Hatari kubwa ya kansa hii ni kwamba huenea kwa haraka sana katika mfumo mzima wa lymph nodes hasa kwa wavuta sigara na bidhaa zingine za tumbaku pamoja na wanywa pombe.
Watu wanaopenda kwenda chumvini kwa kila mwanamke wako katika hatari zaidi. Inashauriwa kuwa na mtu mmoja tu ambaye utakuwa unafanya naye oral sex ili kuwa na HPV virus wa strain moja tu. Kuchanganya madesa ya virus mbalimbali kutoka huku na huko ni hatari zaidi.
Japo zamani kansa hii ilikuwa inawapata wazee wenye umri kuanzia miaka 60, sasa imeanza kuonekana hata kwa vijana wa miaka 35 na wanasayansi hawajui ni kwa nini. Wanadhani pengine ni kwa sababu ya mabadiliko ya tabia za watu kuhusu oral sex, vyakula, mfumo wa maisha na hata mabadiliko ya tabia nchi (virus wa HPV wanacharuka mapema).
![]()
Wapenda uvinza muwe makini. Siyo kila mwanamke unayekutana naye unafakamia mbususu tu. Unaweza kuwa unafanya uwekezaji wa muda mrefu na ambao mafanikio yake utayaona baada ya miaka 20+ huko mbele ya safari!
View attachment 2562218
View attachment 2562222


