M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 6,568
- 15,702
.
Nilikuwa namzingua tu Mpare wa watu. Inaonekana alikutana na kakimbaumbau kamoja (kama haka kwenye picha) kakamnyorosha sawasawa mpaka leo angali ni majeruhi. Nikimwambia ahamie huku kwenye mabonge no siteresi hataki. Mwache apambane na hali yake.Acha ukorofiii...
Muache mwenzio aondoe taswira na kumbukumbu mbaya akilini.....
He gat a shoulder to lean on....
Atarogaje na kuna watu hawarogeki...![]()