Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Hamna kitu hapo. Na hawatadumu maana huyo mwanamke ataendelea ku-cheat tu. Labda kama wataishia kuwa na open marriage....Wanaume wengi watadiss hapa na kuchukia...
Ila hii ndo true pure love kama ile ya mama kwa mtoto wake.



