Mpaka likaja kwangu, it's obvious sio litulivuKama likiwa tulivu.. Likiwa kivuruge je![]()


hapo ni mimi ndio nitatulia kwake sio lenyewe kutulia kwanguKama chibonge hunipendi...acha ubaguziKama wewe ni model lakiniView attachment 2554913
Vipi kama akitangulia Biden kufa, maana ya MUNGU mengiJimmy Carter Rais wa Marekani ambaye ameishi Muda mrefu kuliko wote na ambaye ana Miaka 98 sasa, amemuomba Rais Joe Biden asome wasifu wake siku ya Mazishi yake. Mwezi Uliopita Rais Carter, alichagua kutoendelea na matibabu hospital bali kukaa nyumbani mpaka mwisho wa Maisha yakeView attachment 2554750
Dah... Mdomo koma! Umeninyima vingi.. Nikifanya revision je
![]()

utajiju ... Wenye hatusemagi type zetu mnadhani hatuna?Naaam mkuu .poor Brain 😂😂😂
Hivi huyu anafundisha kweli au ni maigizo tu?mbona uvaazi wake darasani haufai,na hata hizi picha za nje ya darasa ndio zaidi, hakuna katazo ya kimaadili linalomtaka kujisitiri?Mwalimu kama huyu kweli utakosa kwenda shule na kujitahidi ili usionekane boya? Na kwa vile anafundisha shule ya wavulana ndo kabisaa!
View attachment 2554725View attachment 2554726View attachment 2554727View attachment 2554728