Huwajui madereva wa malori wewe, Hawa jamaa unaweza Kuta ana watoto Kila mkoa kwenye nchi kama 5 tofauti[emoji122][emoji122][emoji122][emoji119]
View attachment 2551928
Hii kitu ina politics ndani yake
Kivipi?Hii kitu ina politics ndani yake
Niliyajua haya mapema sana huku kwetu hakuna cha maana ni upumbavu tu.