Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

images (9).jpeg
 
Mara paap Mama E ni mpwa wangu .

Dokta puu chini tunaanza kumpepea. Watu wote oooooh The Doc is out. Sophy whati du wi du nao? 😁😁😁
Naomba Mungu aepushe mbali isiwe kweli.

Ila ktk Dunia hii ya unafiki lolote linawezekana. Unaweza kuta sophy27 na wewe Dr mnanifanya Kama toy tu humu ndani. Kama ni kweli naomba sophy usiongee na Mimi kuanzia leo. 😀😀
 
Back
Top Bottom