Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hapo sawa
Sasa vuta picha picha mama wawili watoto wawili na ukiwaona huulizi! Inakuaje mtu analea mpaka watoto watatu na si wake kama sio kuonyesha wewe ni zuzuta la aina gani! Mwanamke akisha jua wewe ni zuzuta juha mmoja ndio anapata nafasi ya kukupaka matope na
kadiri awezavyo!

Ishini nao kwa akili nao wataishi nanyi kwa upendo! Umeona shida ilipo mzee! Usipo kua na akili ukae ukijua swala la kukaa na mwanamke ni msiba wa aibu sana unaweza ukajiua kwa fedheha, sasa wewe jichanganye ukampenda wakati c jukumu lako kupenda
 
Igwe mr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…