Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

.
JamiiForums-2068201601.jpg
 
Asante Shimba,

Hapana, japo umauti haukumkuta hapo Muhimbili.

Msiba unaendeshwa kutokana na desturi na mila za namna koo/kaya/kabila zilivyo.
Japo kuna koo/familia huiga namna ya kuendesha misiba yao kuinesha hadhira walivyo au kuficha aibu....

Kwenye chakula, bibi mmoja alishawahi niambia, chakula ni agano. Mara nyingi hufanyika pale watu wanapoagana, aidha kuna furaha/kusherehekea au huzuni.

Nayo inategemea mila za kila kaya/familia.

Najaribu kuwaza mtu uache wosia kwamba nikifariki kwenye msiba wangu pasipikwe wala kununuliwa chakula, bali watu wataokuja kufariji ndugu zangu wanywe maji tuu.....

Jee watakutii maana hutakuwa na namna ya kudhibiti....

Na watu wanakaa kabisa kamati ya maandalizi ya msiba, michango inakisanywa kama harusi, wengine mpaka sare, msiba ukiisha wanawaacha wafiwa na upweke wao...
Sina hakika sana na kauli ya mtu aliye hai, ifanye kazi wakati hayupo hai.


Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Vinapatikana wapi hivi brother nimevipenda

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Nenda kwenye huu uzi. Wanaweka Riwaya za Kiswahili huko. Niliviona mahali lakini inabidi nilipie. Bado napambana jinsi ya kuvipata....

 
Back
Top Bottom