Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20230220-073216.jpg
 
Pole.

Mgonjwa wako alipona?

Kifo kwa hakika ni kiboko chetu sisi tuliozaliwa.....

Jamaa wanakusanyika wa wanakula na kunywa halafu wewe wanakuzika ardhini dah!

Ilikuwa lazima iwe hivi?


Asante Shimba,

Hapana, japo umauti haukumkuta hapo Muhimbili.

Msiba unaendeshwa kutokana na desturi na mila za namna koo/kaya/kabila zilivyo.
Japo kuna koo/familia huiga namna ya kuendesha misiba yao kuinesha hadhira walivyo au kuficha aibu....

Kwenye chakula, bibi mmoja alishawahi niambia, chakula ni agano. Mara nyingi hufanyika pale watu wanapoagana, aidha kuna furaha/kusherehekea au huzuni.

Nayo inategemea mila za kila kaya/familia.

Najaribu kuwaza mtu uache wosia kwamba nikifariki kwenye msiba wangu pasipikwe wala kununuliwa chakula, bali watu wataokuja kufariji ndugu zangu wanywe maji tuu.....🤔🤔🤔

Jee watakutii maana hutakuwa na namna ya kudhibiti....

Na watu wanakaa kabisa kamati ya maandalizi ya msiba, michango inakisanywa kama harusi, wengine mpaka sare, msiba ukiisha wanawaacha wafiwa na upweke wao...
 
Back
Top Bottom