Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 60,937
- 124,031
Nakubishia!
Sawa ni mtazamo wako na mimi huo ni mtazamo wangu. Kwa mtazamo wangu naamini hakuna clear line inayotenganisha wanawake wanaofaa kuolewa na wale wasiofaa, no one is perfect. Cha muhimu ni kumpata yule anayeweza kuchukuliana na mapungufu yako na wewe unaweza kuchukuliana na mapungufu yake hapo ndipo ulipo ugumu na ndio maana nimesema ni bahati.Nakubishia!
Vinn ivi??Vinauzwa 150KView attachment 2522504
Duh kumbe uwenda nikwel
Nakubishia![emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Sawa ni mtazamo wako na mimi huo ni mtazamo wangu. Kwa mtazamo wangu naamini hakuna clear line inayotenganisha wanawake wanaofaa kuolewa na wale wasiofaa, no one is perfect. Cha muhimu ni kumpata yule anayeweza kuchukuliana na mapungufu yako na wewe unaweza kuchukuliana na mapungufu yake hapo ndipo ulipo ugumu na ndio maana nimesema ni bahati.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kuna vitu vya kuomba! Sio pussy! Kama hatoi akae nayo kwani alifuta nini kwangu! Apite ivi....
Huu ndio ukweli ila kwa unafiki wetu wanataka useme sijui im self motivated,sijui nini?Fanya kazi usilipwe mshahara tuone[emoji3]
Binadamu tulipo fikia hatari sana