Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Shaquille o'neal
Sie wazee wa two minutes kazi tunayo. Basi mtupe mbinu za kutokumwaga mapema
Siyo kweli?
Cha kushangaza walioletewa dini wanasali kuomba ushindi. Waleta dini wao ni kupiga kazi tuu ndani ya ulingo wa 100 x 70 🤣🤣🤣🤣🤣
😂 hatari hawakuona maombi on timeCha kushangaza walioletewa dini wanasali kuomba ushindi. Waleta dini wao ni kupiga kazi tuu ndani ya ulingo wa 100 x 70 🤣🤣🤣🤣🤣
Tuna ujinga mwingi sie. Sasa ata ingekuwa wewe usikilize maombi ya wasakata kabumbu uache kusikiliza maombi ya wagonjwa kweli....kweli common sense dnt seem to be common😂 hatari hawakuona maombi on time
Wote ni waombaji bila kuzingatia wanaomba nini, hata waganga humuomba Mungu licha ya kuwa wanatesa watu 😁Tuna ujinga mwingi sie. Sasa ata ingekuwa wewe usikilize maombi ya wasakata kabumbu uache kusikiliza maombi ya wagonjwa kweli....kweli common sense dnt seem to be common
Vya siri nitapata?Vinauzwa 150KView attachment 2522504
Nani huyuKifo kikija kinakuja. Unaweza kufa kiajabu ajabu tu.
Je, tunaweza kukiahirisha?
Kuna faida yo yote ya kukiahirisha?
View attachment 2522507