Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mine.....
IMG_20230218_125621_198.jpg
 
Miaka 15 mizima duh!

Hongereni sana...hasa kwako kwa kutokumuacha.

Na nyie hamtakaa muachane [emoji122][emoji122][emoji122]
Kitambo sana.
Nashukuru Mungu ni mwema. Kwa kweli niliona anastahili ndoa ndio nilifanya maamuzi 2021

Changamoto zipo ila ni ndogo ndogo kikubwa kuheshimiana tu[emoji3526]
 
Back
Top Bottom