Vijana wanaoendesha kampeni ya kataa ndoa wana pointi aisee [emoji706][emoji706]Hawa ndio mabinti zetu wanaotegemea kuolewaView attachment 2521271
Huyu Francisca Francis nitamtafuta personally na kumpa kakitu aisee [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Miaka 15 mizima duh!Huyu anasema upuuzi gani. Mali nimepiga tangu mpyaaa 2006 mpaka 2021 ndio nimeoa.
Hapa uko sahihi 100% [emoji122][emoji122][emoji122]
Mara kuwatania.
Ila haka ni ka dogo kwako vile unapendaga super yutong.
Vitamu sana vya hivi ukibahatisha ambako hakajachakazwa na mabaharia.....Ila haka ni ka dogo kwako vile unapendaga super yutong.
Daaah!!.. Huyu dada ana shida kichwani.
Wengi malaya sana maana pombe hua na tabia ya kukimbilia chini sio kwa wanawake wala sio kwa wanaume
Nitumieni picha yake full nataka nimtengenezee sanamu yake maalum!
Ila nyie kuna mbingu yenu mmeandaliwa walahi. Wewe mshana et al.Vitamu sana vya hivi ukibahatisha ambako hakajachakazwa na mabaharia.....
Mdomo ulivyo na kibogoyo ndivyo hivyo hivyo[emoji182][emoji527][emoji817]
Ngoma imepanda na ng'ombe mzima kwenye vijiti[emoji3166]
Picha yangu umeitoa wapi mkuu![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hapo naweza nikala mpaka ukanionea huruma