Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

.
Screenshot_20230208-171255.jpg
 
Dr.Ndodi Alitoa madhara 47 ya nyeto cha kushangaza Kuna mwamba akapiga simu akisema"Dokta nimeskiliza vyema mafundisho yako ila jua aliyegundua Nyeto amegundua JAMBO jema nafkiri alikuwa na maono ya mbali Sana. What a vision? what a hero? Huyo ndio alostahiri Udokta mana hayupo ila maono yake yanaishi na kipindi chako uchwara hakitaiua nyeto kamwe"

View attachment 2519780
tapatalk_1566957399047.jpg
 
Hii ndio ilikuwa post ya mwisho ya Shimba ya Buyenze TUMUOMBEE SANA

Wakuu tukutane kesho. Huu ni uzi mzuri. Tunakutana tunacheka na kufurahi. Hii ni muhimu sana hasa katika dunia hii ya sasa yenye upungufu wa upendo. Hatujuani humu bali tumekuwa kama marafiki sana.

Mkawe na Valentines Day nzuri. Na yote yafanyike kwa tahadhari. Mkilewa msiendeshe. Ngono ziwe salama kwa ambao hamjuani afya...Dunia....

As for me; it is go time - SDY style! View attachment 2517970
Dah!
giphy%20(2).gif
 
Back
Top Bottom