Kuandika hivi rahisi sana,nenda field ukatest 🤣🤣
Ulinzi shirikishi,hapo akili haipo kwenye camera 📸
New evolution of Man 🤣🤣
Daah ila hakuna viumbe wenye stress kama wanawake........hayo yote ya nini?
🤣🤣🤣Na umetuma na ya kutolea
Mambo yangekuwa hivi Dunia ingebaki kuwa sehemu salama kabisa
hii kitu aiiisee 😂😂😂😂 nilikutana nayoo kona
Utadhani ni jina la mtu 😂