Erasto guy
Member
- May 26, 2022
- 31
- 183
Jamaa anafanya mafekeche ulingoniThis was murder. Young, angry and prime Mike Tyson vs. Joe Frasier Jr....
View attachment 2512885
Huyo ni mwamba adimu hataki kizazi cha watu mazuzu
Hili ziwa limelala, but in a sexy way!
Naijua hiii 2015 enzi hizo bundle gb 6 elfu 1500
Wewe na naniView attachment 2512804
Hawa engineers wa huko kwa Wazungu ndiyo creative?
Sisi tumebaki kuning'iniza funguo lundo kwenye luksi za suluari zetu!
Huyu lazima atakuwa Mpare!
Hii kitu ipoo, Tulienda Arusha kwenye kituo kimoja cha kulelea watoto Yatima, kipo Kwa Sadala. Sasa moja ya vijana naye ni Yatima ailivaaa Tshirt inasomeka "Now you are understanding, why I don't want to *** with you"Kufahamu English hata ya kuombea maji ni muhimu....View attachment 2512551
Ngoja waje watakuparua hao baba dhao na mama dhaoHuyu lazima atakuwa Mpare!