Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,917
- 2,539
Huyo atapiga sana hadi chaji ikate
Huyo atapiga sana hadi chaji ikate
Mke wa chawa # 1 Bongo huyo....Mambo yetu haya wazee wa vyepesiii![]()
Ni nani huyo
Siyo huyu aliyepata full scholarship kutoka zaidi ya vyuo vikuu 15 vya Marekani na Uingereza vikiwemo Harvard, Princeton, Yale, Stanford, Columbia, MIT, Cambridge n.k.?Miss Faith Odunsi, mwenye umri wa miaka 15 aliiwakilisha Nigeria kwenye Shindano la Kimataifa la Hisabati, akazishinda China, Marekani, Uingereza na nyinginezo na kuwa mwanafunzi bora wa hisabati duniani...
Waamuzi walimwita Calculator mwishoni. Anasoma shuleni Nigeria sio nje ya nchi, anapaswa kusherehekewa. Hongera sanaView attachment 2512905



Mimi ni mali safii 😊😊Alhamdullilah.