Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2509920
Niko cinic na bibi ana miaka 74 , mara ya kwanza dalili za mwanzo akajua maradhi ya utu uzima, akaja kupigw ultrasound tumboni maana alikuwa anatapika sana na dawa kila akiandikwa hola , ndio kuonekana ana mimba miezi 7.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…