Vituko mitandaoni. Tupia chako

Tusitishane pulizi. Watu tulishasukuma milango imeandikwa pull hatutishwi na maandiko ya kwenye tisheti tu [emoji123][emoji123] [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2504640
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Ndiyo ni ngumu lakini utafika wakati itabidi ukate shauri. Unless kama kuolewa siyo kitu unachokiwazia maishani mwako.
Kukata shauri? Means ujikute tu umekubali for the sake of being Mrs fulani?
Mhh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa kama yule ticha mhh ningekubali sahii ningekuwa mke wa mtu ila akuuuu,, tatizo nafsi zinakataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…