Hakunaga dunia hii mwanmke mwenye kulipa billz zote labda kama yupo single
Aisee...Kiimani zaidi.. Msipotoshwe tena
YESU HAJASEMA
- FANYA UAMUZI WA KUNIFUATA
-NIITE MOYONI MWAKO
- UNIFANYIE BWANA NA MWOKOZI WAKO
-RUDIA SALA HII BAADA YANGU
KWA KWELI ALISEMA
- HUKUNICHAGUA, NILIKUCHAGUA WEWE
- TUBU NA IAMINI INJILI
-MIMI NDIMI NJIA, KWELI & UZIMA UNAPASWA KUZALIWA KUTOKA JUU
Yoh 15:16 Mk 1:14-15 Yoh 14:6 Yoh 3:3-8 Efe 2:8-9 Yoh 1:12-13View attachment 2503160
Kweli kabisa..Hakunaga dunia hii mwanmke mwenye kulipa billz zote labda kama yupo single
Nimewahi kwenda kwenye engagement moja,jambo kama hili lilitokea wakati Binti anatoka 😀
Jide siku hizi hajiheshimu kabisa