carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,579
- 285,646
[emoji23][emoji23]
Jogoo wako mwenyewe manati ya nini?[emoji23]Jichanganye[emoji2][emoji2]View attachment 2502660
Mbunge wa Jimbo gani mkuu? Nikachukue Jimbo hilo fasterMbunge atimiza ahadi ya kutoa kengele shuleni [emoji23]View attachment 2502782
Mjomba hii inaitwa "martingale strategy" inabidi uwe na roho ya chuma hasa! Kipindi nikiwa 'mkamaria' haswa niliwahi kuitumia hii njia, aisee Kuna siku roho nusu iachane na mwiliMILIONI KWA SIKU UHAKIKA KWENYE CASINO UKICHEZA HIVI.
JINSI YA KUCHEZA..
Mchezo unatakiwa kua na option mbili (machaguo mawili) hapa kwenye hii jupita bet tuta deal na HEAD AND TAIL mchezo wa shilingi ambao unachagua either head or tail then una spin
Ikitokea umepatia unapata mara mbili ya dau lako yaani kama ukiweka buku maana yake unapata buku mbili.
Deal na option moja tu! Kama ni tail au head.
head ni 50% alaf tail ni 50% hivyo pande zote mbili zina nafasi karibu sawa .
Hivyo kama utaweka HEAD yaani
HEAD mara ya kwanza
HEAD mara ya pili
HEAD mara ya tatu
HEAD mara ya nne
Kwenye mara hizo nne kuna zaidi ya asilimia 100 head hutoa walau mara moja
UNAPIGA VIPI PESA
Round ya kwanza
chagua HEAD
Ukikosa
=>hasara ni buku mbili (-2000)
Raundi ya pili
HEAD ila safari hii una weka mara mbili yaani (4000)
umekosa tena...
=>Hapo hasara ni (2000+4000=6000)
Mara ya tatu tena HEAD kawaida double weka 8000
Ume tumia(2000+4000+8000=14000) wewe una 16000 faida 2000
Ikitokea ya tatu haija toa unaenda ya nne ambayo ndio ya Mwisho hapo ni mara mbili ya 8000 ambayo ni 16000
Unatoa 32000
Ukitumia (2000+4000+8000+16000= 30000) wewe una 32000 faida 2000
Hapa sasa ni wewe na pumzi yako kuzipiga hizo buku 2000 kwa siku
Casino ninayo tumia www.jupitacasino.site
Kazi kwako ..
Ndo nani
Fuatilia kwa huyo niliyemnukuuNdo nani
Aaah kumbeFuatilia kwa huyo niliyemnukuu