Hii kunywa maji kwa wingi kwa sisi tulioko makambako ni changamoto kwa kweliTunywe maji kwa wingi kila siku.
Tupunguze pombe (kali) na makemikali mengine mf. Pain killers.
Tudhibiti presha
Tuwe active
View attachment 2500856
🤣🤣🤣🤣Hata ndotoni pia ukishalala, waogope wanaume 😂😂
Aisee ila hili lina ukweli sema watapita kama hawaoni vile 🤣🤣🤣🤣