Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG-20230130-WA0015.jpg
 
Anhaa hii hutokea mfano shule anayosoma huyo kijana watahiniwa wakawa wengi wakafika limit ya NECTA

So hutafutiwa center ingine ambayo inawatahniwa wachache.

Ila kuna masaa tufiche ujinga wetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo kijana ni think tank inayotegemewa sana huko upinzani. Pengine hakulijua hili na amedakia tu ili kupata mileage. Naamini kuna mtu ambaye atakuwa amekuja kumwelewesha.....
 
Back
Top Bottom