He! Na wao huku bara sheria inasemaje!Halafu eti nchi moja [emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 2500133
Wow nimefurahi kuona Jungkook meme
Mh! Kafia mtu ulingoni! Mandonga kesha fanya yake! Katumia SOGWINYO au NDOIGE
Hii ilikua vita! Chumba kizima msalaHekaheka!
View attachment 2500155
Panga pangua hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huo uchafu namba E!!? Hatari
Hiki kibibi kina mtindi! Yule jamaa c hata pua zilikua zinaziba kwa mudaKajala kama kajalaView attachment 2500477