Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,354
- 829,541
- Thread starter
- #143,701
"Nimepoteza Simu yangu na baadae ntaenda kutoa taarifa kwa Mamlaka. Hofu yangu asije huyo mhuni akavujisha vitu, Simu zetu zina makoro koro mengi mno, mengine ni balaa. Nipo tayari kuinunua tena kwa bei ya dukani, otherwise ni shida" Haji Manara.


