SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,278
- 3,565
Ok ila kamloga bana haiwezekani mzee mmmh hii dunia hii bwanaOndoa hizo emoji za matapishi. Huyu ni binadamu na siyo kinyaa bana. Aliyemuoa anajua alichompendea. Usikufuru! [emoji51]
Ok ila kamloga bana haiwezekani mzee mmmh hii dunia hii bwanaOndoa hizo emoji za matapishi. Huyu ni binadamu na siyo kinyaa bana. Aliyemuoa anajua alichompendea. Usikufuru! [emoji51]
Oh sikujua sis
Kwa hiyo unanishauri vipi?Oh sikujua sis
Sijapenda hayo makalio for a man its a shame asee ata akipita mtaani atapigiwa miruzi huyo hivyo siipendi hi pic
Acha kamba bana [emoji16][emoji16][emoji16]